Lyrics
Hakuna kitu kibaya sana umuduniani kama shida
Haichagui mtu, siku, wala mwaka ohh
Hanaga taarifa shida huingia shida bila hodi!
Si'mtoto wala mkunwa wote shida oohhh
Kila siku shida shida haishi mpaka siku ya mwisho
Shida kamwe haikosekane hata kama siku ya harusi
Na uwe na mapesa mengi ipo shida oh oh
Haina ngoja wala aibu popote shida utokeza
Kwa masikini, matajiri wote shida
Kila siku shida shida haishi mpaka siku ya mwisho
Hakuna kitu kibaya sana umuduniani kama shida
Haichagui mtu, siku, wala mwaka ohh
Hanaga taarifa shida huingia shida bila hodi!
Si'mtoto wala mkunwa wote shida oohhh
Kila siku shida shida haishi mpaka siku ya mwisho
Shida haina ngoja ngoja, oh shida
Mama eeh eh, oh oh shida
Kila, kila siku shida, oh shida
Mpaka siku ya mwisho, oh oh shida
Na hao wanayo mapesa mengi, oh oh shida
Kwa masikini matajiri, oh oh shida
Shida popote utokeza, oh oh shida
Ukujia siku huna pesa, oh oh shida
Oh! mama yeye, ooh shida
Oh! Mama yeye, ooh shida
Shida haina ngoja ngoja, ooh shida
Shida haikosekani
Shida haina ngoja ngoja
Shida popote ukoteza ah!
Tizama shida..
Hukujia siku huna pesa kabisa, ah shida!
Uwe na mapesa mingi, taabu
Uwe fukara (lol) shida ndo kabisaa
Shida kitu chaajabu sana, ah
Mpaka siku ya mwisho iko shida
Shida jamani shida, aiyayaya!!
Shida haijui mtu
Wala haichagui siku wala wiki wala mwaka
Shida hutokea tu ghafla hata hujui imetokea wapi
Kitu kibaya sana (shida)
Shida haina ngoja ngoja oh, oh shida
Mama eeh eh, oh oh shida
Kila, kila sina, oh shida
Mpaka siku ya mwisho, oh oh shida
Na hao wanayo mapesa mengi, oh oh shida
Kwa masikini na matajiri, oh oh shida
Shida popote utokeza, oh oh shida
Ukujia siku huna pesa, oh oh shida
Shida shida shida shida shida ooh
Oh! mama yeye, ooh shida
Shida hadi siku ya mwisho ipo shida
Oh! Oh! Shida hakosekani
Shida haina ngoja ngoja oh, oh shida
Oooh ooh, oh oh shida
Lele lele lelelele, oh shida
Lele lele lelele le, oh shida
Oh shida mpaka siku ya mwisho, oh shida
Na hao wanayo mapesa mengi, oh oh shida
Shida popote utokeza, oh oh shida
Issa Ibungu
O/B/O DistroKid